TUPENDANE LYRICS AND TRANSLATION BY WILLY PAUL

0 178
TUPENDANE LYRICS AND TRANSLATION BY WILLY PAUL
Verse 1
Alishasema alikiba ,mapenzi yanarun dunia,
Alisema msanii wa bongo mapenzi yanarun dunia,
Kama mapenzi yanarun dunia ,mbona willypaul naliax2
Alisema msanii wa bongo yanarun dunia,
mhn yanarun dunia ,mbona willypaul nalia
Mmm yanarun dunia ,mbona willypaul natukanwa,

Verse2

Sisi wote vipofu kwake jalali,
Lakini hajawahi tupoteza mama, msela,
Ati kuna propaganda tena mmm
Ati kuna propaganda tena inasambaa,
Ati hakuna upendo baina yetu wasanii,
Dj moh hampendi sadic ,sadic hampendi  moraya,
Tangu lini x2 yote ni uongo,
Tupendane eh ,upendo ni freex4
Verse 3
Chuki huwanga sihisi kwa maombi yanaishi,
Nakumbuka ndugu yangu ,
mwenye madread na mpenda vicrazy,
(sina shida na bahati hey hey hey)x2
Tukipigana kila mara tunaangusha hekalu la bwana
Tutende mema aliye nyumbani apate tamaa ya kuokoka
Verse 4
Na tukipendana tukipendana ,tukipendana
hatatuacha muhadhara,na hatatuacha muhadhara
atatupenda sisi ah ah,
(hatuacha muhadhara)x4
Tukipendana,coz hayo (ndio mapenzix3),
Na hayo (ndio mapenzi x3) ,
Ukimpenda mwenzio oh ,hayo ndio mapenzi,
Ukimpenda adui ah ,hayo ndio mapenzi,
Ukimpenda mbaya ah ,na hayo ndio mapenzi,
Husipomsengenya yule mwenzako ,hayo ndio mapenzi
Uu ndio mapenzi x3
hayo (ndio mapenzix3),(tupendane eh x2)

Submit Music/Lyrics

Related Articles: More from author

Leave A Reply

Your email address will not be published.