NgospelMedia
NgospelMedia.com - Is A Gospel Entertainment and News Website, We as a Team, Tend to Deliver Free Downloading of new Mp3 Gospel Musics, Rich Coated Articles for Spiritual & Physical Growth, Latest Musical Videos, Gospel Gists, Celebrity Interviews and Many More...

- Advertisement -

TENDA WEMA LYRICS BY RINGTONE FT. CHRISTINA SHUSHO

0 708

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

-Advertisement-

-Advertisements-

managed wordpress hostingTENDA WEMA LYRICS BY RINGTONE FT. CHRISTINA SHUSHO 1
(chorus)
tenda wema nenda zako we,
(husisahau mungu anaona),
siku ya kukumbukwa ipo,
yeyeye atakulipa
tenda wema nenda zako we,
(husisahau mungu anaona),
siku ya kukumbukwa itafika,
verse1
mayatima umesomesha sana ,
wenye shida umesaidia wote,
wenye njaa umewapa chakula,
nguo zako umepeana zote,
hakuna anayetambua,
haya ambayo umetenda kwote,
sasa naona inakupa worry,
nakuomba we husijali,
aliyekuita anaona yote ,
utabarikiwa  na siku zote
(chorus)
verse 2
aliwaponya ,wagonjwa wao,
yesu huyo,akafufua wafu wao,
yesu huyo,mwisho wakamuita,pepo huyo
na tena wakamuita desivuri
wewe si wakwanza,
na hutakuwa wa mwisho,
yesu katukanwa,sembuse mwanadamu,
tenda wema nenda zako oh
husingoje shukrani eh x2
(chorus)
utawasomesha wajue kizungu wakutusi,
utawalisha ,washibe wakupige,
wewe tenda mema ,
wewe tenda mema tu,x2
(chorus)

Related Post

Related Posts
1 of 18

- Advertisements -

TENDA WEMA LYRICS BY RINGTONE FT. CHRISTINA SHUSHO 2TENDA WEMA LYRICS BY RINGTONE FT. CHRISTINA SHUSHO 3
TENDA WEMA LYRICS BY RINGTONE FT. CHRISTINA SHUSHO 5TENDA WEMA LYRICS BY RINGTONE FT. CHRISTINA SHUSHO 6

- Advertisement -

Subscribe to our newsletter
Sign up here to get the latest news, updates and special offers delivered directly to your inbox.
You can unsubscribe at any time

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

- Advertisement -

Leave A Reply

Your email address will not be published.


%d bloggers like this: